OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA MCHANGO KWA AJIRI WAASILIKA WA TETEMEKO MKOANI KAGERA
Mratibu wa utafiti wa viashiria na matokeo ya UKIMWI Tanzania wa mwaka 2016. Bi Marium Kitembe akimukabidhi Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kiasi cha shilingi milion moja na laki sita(1,600,000) zilizochangwa kwa wadadisi wa utafiti huo kwa ajiri ya waasilika wa tetemeko lililotokea Mkoani Kagera hivi karibuni. Mh Ummy mwalimu amekabidhiwa fedha hizo wakati wa hafla fupi ya kufunga mafunzo ya utafiti huo mkoani Dodoma
Ni mtandao wa Kuhamasisha,Kuwawezesha Wajasirimali wadogo na wakubwa waweze kupata soko la Bidhaa/Huduma zao kwa Njia ya mtandao wa internet. Tunawatengezea vitabu, mashapisho na kurasa za Facebook, Instagram, Twitter. Wasiliana nasi kwa Email datatz88@gmail.com Simu 0763491136/0714067875/0688496762
Asante na Karibu Sana.
Jiunge Nasi
Jiunge nasi Upokee makala za kuhamasiha moja kwa moja kwenye email yako
Share This Post
Related posts
0 comments: