UCHAKATAJI WA CHUMA GHAFI LIGANGA NA MCHUCHUMA-TANZANIA
Posted by Unknown
on Thursday, May 25, 2017
0
UCHAKATAJI WA CHUMA GHAFI TANZANIA TUIGE MFANO
Tanzania inapaswa kuiga mfano wa nchi zilizoendelea kujenga kiwanda kitakachowezesha uchakataji wa chuma ghafi kwamatumizi mbali mbali kama vile
- Kutengenezea reli (standard gauge)
- kwa ajili ya viwanda vya vyuma nyumbani (home use steel)
FAIDA ZA KUFUA CHUMA KWA KUTUMIA WAWEKEZAJI WA NDANI
- Kuongeza soko la ajira nchini
- Kukuza uzoefu katika secta ya viwanda vya chuma na ujuzi wa kutengezena reli wenyewe
- kukuza secta ya biashara na masoko
- Kukuza uchumi kwa ujumla
Tagged as: HABARI TANZANIA
Ni mtandao wa Kuhamasisha,Kuwawezesha Wajasirimali wadogo na wakubwa waweze kupata soko la Bidhaa/Huduma zao kwa Njia ya mtandao wa internet. Tunawatengezea vitabu, mashapisho na kurasa za Facebook, Instagram, Twitter. Wasiliana nasi kwa Email datatz88@gmail.com Simu 0763491136/0714067875/0688496762
Asante na Karibu Sana.
Jiunge Nasi
Jiunge nasi Upokee makala za kuhamasiha moja kwa moja kwenye email yako
Share This Post
Related posts
0 comments: